Membership Renew

Subscribe
Latest News
| Uanachama 2012 |
|
|
|
| Written by MushiPc |
| Tuesday, 07 February 2012 19:12 |
|
Ndugu Watanzania wa Wichita,
Tunachukua muda huu kuwashukuru wote ambao wameshaanza kutoa michango yao ya uanachama kwa 2012, pongezi za dhati.
Ada ya uanachama bado ni ile ile, $30 (single) na $50 (couples).
Mwaka wa uanachama ni January-December.
Kwa kuendelea na utaratibu tuliojiwekea kuanzia mwaka jana, kuna njia tatu tofauti unazoweza tumia kufanikisha zoezi la kulipia uanachama wako:
1. Kwa kupitia PayPal Account: Gonga Hapa (Tumia jina lako rasmi na e-mail address unayopokea nayo e-mail za chama kwa uhakiki wa Mtunza Fedha kwa uhakiki)
2. Kwa kupitia Bank Account yako ya TaWichita, Meritrust Credit Union Acct No: 08007955. Jina ni Tanzania Association of Wichita.
-Kwa tawi lililo karibu na wewe; Gonga Hapa
-*TUNZA RISITI yako kutoka Meritrust Bank kwa uhakiki ili upatiwe stakabadhi yako ya malipo ya uanachama 2011
3. Kwa kupitia kiongozi yeyote wa Chama. Kwa majina ya Viongozi wa awamu hii Gonga Hapa:
Ni haki yako kudai stakabadhi ya malipo yako ya uanachama. Wasiliana na kiongozi yeyote wa TaWichita au e-mail
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it
ili kuhakikisha unapatiwa stakabadhi ya malipo yako.
Tuna imani njia hizi zitakuwezesha mwanajumuia kuweza kuwasilisha mchango wako. Tumejiwekea malengo ya kumaliza zoezi hili kufikia mwisho wa mwezi wa pili, yaani Februari 29, 2012
Tunatanguliza shukrani za dhati.
UONGOZI.
|



